johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani wanaCCM watapiga kura.Ebu punguza ujinga.Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv
Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae
Ahsanteni Sana ππ
Siasa ni Sayansi we mmachame ππKwani wanaCCM watapiga kura.Ebu punguza ujinga.
Ccm wafuatilie hizo kanjanja?Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv
Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae
Ahsanteni Sana ππ
Makanjanja ndio hufunguka bila kujitambua Wanaweza kutaja alipo Ben SananeCcm wafuatilie hizo kanjanja?
Na wazee wameshasema ndiyoooo.Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv
Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae
Ahsanteni Sana ππ
Sisi tunakula Bata tu Legacy inajilinda πππππWanaMagufuli tukutane wapi kumjadili Kabendera
Na TV ya CCM πKwa hisani ya abdul na mama yake
Wakina mbowe na matapeli wenzake ndani ya chadema walitaka kuget rid ya ile timu yote cream ya wakina Lema, Msigwa, na Heche wote wasipate uenyekiti wa Kanda. Hilo likafanikiwa. Mission ikawa tunamtoaje Lissu. Wakaona ingiza Wenje ambae muda wote ni "Yes Sir". Lissu nae akachapa "ambush" ya maana. Nakufuata hukohuko juu π π πNi Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv
Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae
Ahsanteni Sana ππ
Uzuri Lisu hawezi kufa Kienyeji ilishashindikana ππWakina mbowe na matapeli wenzake ndani ya chadema walitaka kuget rid ya ile timu yote cream ya wakina Lema, Msigwa, na Heche wote wasipate uenyekiti wa Kanda. Hilo likafanikiwa. Mission ikawa tunamtoaje Lissu. Wakaona ingiza Wenje ambae muda wote ni "Yes Sir". Lissu nae akachapa "ambush" ya maana. Nakufuata hukohuko juu π π π
Yericko Nyerere majuzi hapa alifanya kafara ya damu huko kwao Iringa.Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv
Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae
Ahsanteni Sana ππ
Ndio alionekana kule Mufindi akiwa na Mshana Jr πΌ
Afadhali watupe na sera za mbowe maana mi Bado sijasikia zaidi ya kusema kamanda naingia mzigoniππNi Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv
Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae
Ahsanteni Sana ππ
Mbowe anatuharibia chama, atokeUzuri Lisu hawezi kufa Kienyeji ilishashindikana ππ