37🤣🤣🤣Amestaafu akiwa na miaka mingapi mkuu😁?
Aisee😁37🤣🤣🤣
Ni agemate wa MangunguAmestaafu akiwa na miaka mingapi mkuu😁?
Eti amestaafu akiwa na umri miaka 33! Utani wa ngumi huu 😀Amestaafu akiwa na miaka mingapi mkuu😁?
Tena akiwa hana majeraha yoyote yale yanayomsumbua! Miaka 33 wenzake kibao tu bado wanakichafua. 😀Nasikitika sana amestaafu bado kijana miaka 33.... Daaah...
Amestaafu ana miaka 37Dah okwi toka nipo young mpka leo aaaahh afrika ni yetu kivyetu vyetu
🤣🤣🤣🤣🤣 kituko cha karneAmestaafu ana miaka 37
Hapana ..Chama kastaafu Zambia akiwa na 35 na Okwi 33....Amestaafu ana miaka 37