Emmanuel Okwi kutoichezea tena Simba FC?

Emmanuel Okwi kutoichezea tena Simba FC?

Ngolombwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
267
Reaction score
76
Kuna habari za kutatanisha juu ya mchezaji Emmanuel Anold Okwi!

Inasemekana hatachezea tena simba na kuna klabu moja amejiunga nayo usiku huu.
OKWIIIIIIIIIIIIII!
 
Lambalamba wameshaanza yao.....

Baada ya Okwi kuondoka Yanga niliwahi kupost hapa JF kuwa hatacheza Simba muda mrefu, ataelekea Azam kwa vile yeye anacheza na pesa tu; kala pesa Simba, kala pesa Yanga sasa ni zamu ya Azam kuliwa. Baada ya hapo ataelekea nchi nyingine ambayo mimi siijui, nijuacho ni kuwa hataendelea kuwepo Tanzania.

Ni maoni yangu kuwa nguvu ya Okwi ni pale anapokuwa Simba SC, nje ya Simba Okwi si lolote wala si chochote. Akienda Azam atakuwa amejimaliza mwenyewe, angalia Kipres wanavyo perform pale Azam, Kapombe naye si yule wa Simba na hata Kavumbagu siyo yule wa Yanga, hapo sijazungumzia Mwaikimba et al.

BR EA Okwi.
 
​Okwi anajua kudili na akili za viongozi wa vilabu vya TZ
 
Hata akienda lambalamba atasaini mkataba wa mwaka mmoja tu! halafu atatimuka zake nje ya nchi then atarudi bongo kuja kuzikamua tena za simba.
Najiuliza hivi, Ina maana okwi amewazidi ujanja viongozi wa vilabu vyetu vya tanzania??! Bado hawajagundua tu kama okwi anacheza na akili yao!!
 
Shauri yao mikia. Yanga chama la kimataifa hatuna tena muda na tapeli huyo
 
Makoye umenikumbusha kuhusu kapombe hivi bado yupo azam? Huwa anacheza namba ngapi?
 
Baada ya Okwi kuondoka Yanga niliwahi kupost hapa JF kuwa hatacheza Simba muda mrefu, ataelekea Azam kwa vile yeye anacheza na pesa tu; kala pesa Simba, kala pesa Yanga sasa ni zamu ya Azam kuliwa. Baada ya hapo ataelekea nchi nyingine ambayo mimi siijui, nijuacho ni kuwa hataendelea kuwepo Tanzania.

Ni maoni yangu kuwa nguvu ya Okwi ni pale anapokuwa Simba SC, nje ya Simba Okwi si lolote wala si chochote. Akienda Azam atakuwa amejimaliza mwenyewe, angalia Kipres wanavyo perform pale Azam, Kapombe naye si yule wa Simba na hata Kavumbagu siyo yule wa Yanga, hapo sijazungumzia Mwaikimba et al.

BR EA Okwi.

Hebu nisaisie tu, ni mchezaji gani Azam yupo kwenye kiwango cha juu? Ukipata jibu, na kutafakari kwa mapana, ndio utapata jibu, ni kwa nini timu ya Taifa inafungwa kila siku.

Usiku mwema Ngosha
 
Okwi ni kama mizigo ya corner bar ukigonga leo basi kesho usilete wivu kama hauna hela wanagonga wengine haaa haaa duh uyu mtu kapiga sana pesa bongo hapa.
 
Back
Top Bottom