Labour?Kama hukwenda na mama yake Labour hupaswi kupinga lolote.
Ukiacha umri hayo mengine yapo sawa mkuu,Aliyeandika hayo ni Okwi?Yanga tumieni akili basi mnatuchosha
Mkuu, ujakosea kabisaKwa hiyo Simba day ya 2009 alikuwa teenager? Nahisi hata hii michuano ya CECAFA U17 vinacheza vijeba.
Toa U hapo iwe Labor
Zote ni sawa:"labour(British),"labor" (American English)Toa U hapo iwe Labor
Kwa hiyo Simba day ya 2009 alikuwa teenager? Nahisi hata hii michuano ya CECAFA U17 vinacheza vijeba.
ππpopote ulipo kunywa Dompo nitalipa!Kama hukwenda na mama yake Labor hupaswi kupinga lolote.
Mkuu Dompo kinywaji cha Wanawake.ππpopote ulipo kunywa Dompo nitalipa!
Anhaa! Basi kama vp ulizia dumu la gongoMkuu Dompo kinywaji cha Wanawake.