Emmanuel Okwi Rasmi simba

Timu yetu ya Taifa itaendelea kuwa na WAPIGA MPIRA badala ya WACHEZA MPIRA kwa sababu Club zetu kubwa haziwapi nafasi vijana wetu..!
 
Huyo Okwi anawalia sana Simba hela zao yaani hata kwao Uganda hana thamani kama Simba wanavyompa thamani. Simba inatakiwa wakubali kuwa Okwi umri umesonga na hawezi kubaki ktk ubora ule na wangekaza Ajib abaki kuliko kuingia gharama kwa mchezaji wa msimu mmoja na ambaye akipata majeraha kupona ni mwaka. Wangejifunza kwa Mwanjale ambaye baada ya kuumia karibu nusu ya msimu bado anauguza majeraha.

Vv
 
Tulia hesabu zinapigwa, mbona yanga wamekaa na babu ngoma hamkusema? Acha ale hela si ndio kazi yake, sindano zinauma japo tiba.
 


Umeangalia tu hela anazokula, vipi kuhusu anazoingiza kila anapouzwa? Nadhani Okwi ni best deal ever kwa Simba kuhusu wachezaji wa nje.
 
Mi naiona Simba ikijiandaa kuvunja rekod kwa idadi ya wachezaji watakaosajiliwa yaani idadi ya chini kabisa ni wachezaji 11 na hii itaifanya simba kuanza tena upya kwa wachezaji kuzoeana hivyo cdhani km kuna jipya kwa msimu ujao
 
Umeangalia tu hela anazokula, vipi kuhusu anazoingiza kila anapouzwa? Nadhani Okwi ni best deal ever kwa Simba kuhusu wachezaji wa nje.
Ngoja tusubili dili jipya, lkn sidhani kama kuna timu itajitokeza kumnunua tena Okwi, sana sana Simba wataishia kumtoa kwa mkopo.

Vv
 
Hahahaaa THAMANI YA OKWI IKOKWA VIONGOZI MKUU WALEWANAELEWA DILI ZAKE KAMA UMEONA KABURU AJAWAHI KUMFWATA OKWI NI JIRANI YANGU TANKIBOVU UTASIKIA KAMLETA OKWI ZAMU YA KULA MZIGO WA SPORTPESA NASIKITIKA WATOTO WAMBEYA WAMEFANYWA MTAJI WANAKUJA KOSA MISHAHARA LOH
 

Hivi ni Tanki Bovu au ni Tangi Bovu? Kumbe na Wewe pamoja na huo ujanja wote unaishi hilo eneo? Nisalimie sana jirani yako hapo hapo James Tupatupa wa Clouds Media Group.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…