Emmatheboy upo wapi jamani?

Mtayarishaji muziki mwenye kujua kazi yake, nimeanza kumsikia muda kidogo, kama nyimbo mbalimbali hasa za maua sama, uko wapi jamaa?
 
Mtayarishaji muziki mwenye kujua kazi yake, nimeanza kumsikia muda kidogo, kama nyimbo mbalimbali hasa za maua sama, uko wapi jamaa?
Dah! Sijui watu wasiojulikana wameshafanya yao
 
Duh.....hua anatengeneza nyimbo zenye mlengo wa siasa pia.... (kukosoa) labda?
 
ile ngoma ya kalapina amerekodia wapi...watu wasiojulika.
 
Kunja ngumi hii itakuwa smart area, hii ni smart area, haya imba ,unatafuta kiki kwa pikipiki mara black Mara white vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…