Emmy mwamgiga

EMMY MWAMGIGA IS WHO???

  • EMMY

    Votes: 2 100.0%
  • EMMY

    Votes: 0 0.0%
  • EMMY

    Votes: 0 0.0%
  • EMMY

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2
  • Poll closed .
Mimi naona kama anamffanyia matangazo ili afahamike. Kwani ni nani alikuwa anamfahamu kabla hajamleta hapa?
Watu wana strategy za kutoka kisiasa siku hizi hasa wakiwa vyuo vya elimu ya juu, subirini kama hamjamsikia uvccm au bavicha.
 
siuko naye hapo chuoni.. nenda kamuulize.otherwise ni wivu tu unakusumbua.
 
Alikua anamkampenia mtu wake akakosa thus why amebaki kulaumu
 
Mimi namuunga mkonö mtoa mada sema namshauri atetee mada vzuri ili wabshi wanaobsha bla kuuliza wajaribu kuelewa
 
Mi napita tu tafadhali
 
Mkuu kuwa makini kabla hujapost kitu chochote hapa, kwa kupost hii thread utakuwa umemchafua na kumdhalilisha sana huyu dada iwopo unachosema hakina ukwel, na kama kina ukwel kwanini usikidhibitishe au kwenda mahakaman? Nadhan JF waangalie jinsi ya kucontrol hil jukwaa, KILA UHURU UNA MIPAKA YAKE, haukua na haja ya kutaja jina lake kwa fikira za kusadikika.
 
hamjui kiindele acho huku udsm ila ni hali halisi nihionayo!!!!SAMAHhanini lakn kwa kuongea ukweli NAOMBENI NITHIBITISHE KWA HILI
 
Nadhani hizo ni chokochoko tu za kupata pa kuanzia. Hii ndiyo Dr. Hosea anasema wanasiasa wanafiki kwamba tunaongea sana badala ya kwenda mahakamani, badala ya kutoa ushahidi hata kwa wale waliopelekwa mahakamani. Huyo Emmy namfahamu sana ni mwalimu wa ukweli na anaakili za kiutu uzima yaani yuko matured. Hayo mapesa yanayoletwa humu ni uzushi mtupu. We washawishi wenzio wapambane kijinga kama ndugu mmoja alivyoasa pale Nkrumah siku ya mwalimu uone usipoenda nyumbani naye au mwingine yoyote asije hata kukupa andazi. Tufikiri wenyewe tuache kufikirishwa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…