[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Siipendi hii emoj kuitumia na inaniudhi sana mtu akiitumia kwangu.
Kwa anayejali hisia zangu please, asiweke hii emoj kwenye post yangu.
Mimi binafsi sitaiweka kwa post ya mtu yeuyote. Amen.[emoji120]