Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Wakuu,
Hizi emoji zione tu zikiwa ndogo, hivyo zikiwa kubwa zinatsha sana aisee. Mimi kuanzia jana kwenye simu yangu kuna emoji zimekuwa kubwa sana aiseee, sijui ndo simu inataka kuharibika au jamiiforums wamefanya marekebisho ndo yamesababisha haya. Yaani zimekuwa kubwa kama machungwa au maparachichi, nyingene hadi najiuliza hii ni emoji au ni mfuniko wa ndoo ya maji.
Imagine unapitia uzi ghafla unaona li'emoji kama hili👇
Au upo usiku unapitia jf unakutana na hili👇
Yaani hizi emoji nazo zinapitia mutation😀😀😀😀😀😀
Hebu oneni wakuu
Hebu ona kama hii 👆👆 ilivyo kama kitumbua kilichokuwa kinakaribia kuungua....
Kuna mwingine ambaye ameliona hili, au nakutana nalo mimi tu?