Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
hahaha! Wazee wa freebasic
Tunaopata tabu ni sisi mjue๐๐๐๐๐๐๐๐[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]watu mnafurahisha balaa... hahhhahaha..
Mkuu, mimi kweli huwa mara nyingi natumia freebasics kutokana na ukata mkali nilionao, lakini jana na leo nimebahatisha hela bando. But still naona maemoji makubwa makubwa kama mpira wa basket....hebu ona mamikono hayahahaha! Wazee wa freebasic
Labda unatumia app....Mbona mimi naziona kawaida!!
Hahhahhaha..labda kuna kirusi kwenye sim yako..Tunaopata tabu ni sisi mjue[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 949520
Kwenye App sioni ukubwa wowote [emoji41][emoji848]Ni kote app na browser
Kwenye App sioni ukubwa wowote [emoji41][emoji848]