dydah New Member Joined Feb 8, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Feb 10, 2018 #1 Habari wana JF Mimi ni mgeni humu naomba muongozo Nategemea ushirikiano kutoka kwenu wote Nitajitahidi kutoa ushiriano pia inapobidi Ahsanteni [emoji847]
Habari wana JF Mimi ni mgeni humu naomba muongozo Nategemea ushirikiano kutoka kwenu wote Nitajitahidi kutoa ushiriano pia inapobidi Ahsanteni [emoji847]
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Feb 10, 2018 #2 Awali ya yote karibu, Infwakti hapa ulipo ushafika kikubwa kama ulivyoahidi nionyeshe ushirikiano wakati naendelea kukukagua. Nguo tuna ziacha nje.. kisha pm unacome without.
Awali ya yote karibu, Infwakti hapa ulipo ushafika kikubwa kama ulivyoahidi nionyeshe ushirikiano wakati naendelea kukukagua. Nguo tuna ziacha nje.. kisha pm unacome without.
Maxmizer JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 4,799 Reaction score 4,226 Feb 10, 2018 #3 karibu sana ,tuma picha tafadhali
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Feb 10, 2018 #4 Jina lako linavyoanza limenikumbusha shule Mambo ya dy/dx
dydah New Member Joined Feb 8, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Feb 10, 2018 Thread starter #5 Daby said: Awali ya yote karibu, Infwakti hapa ulipo ushafika kikubwa kama ulivyoahidi nionyeshe ushirikiano wakati naendelea kukukagua. Nguo tuna ziacha nje.. kisha pm unacome without. Click to expand... [emoji849][emoji849]
Daby said: Awali ya yote karibu, Infwakti hapa ulipo ushafika kikubwa kama ulivyoahidi nionyeshe ushirikiano wakati naendelea kukukagua. Nguo tuna ziacha nje.. kisha pm unacome without. Click to expand... [emoji849][emoji849]
dydah New Member Joined Feb 8, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Feb 10, 2018 Thread starter #6 chaliifrancisco said: Jina lako linavyoanza limenikumbusha shule Mambo ya dy/dx Click to expand... Poa kabisa
chaliifrancisco said: Jina lako linavyoanza limenikumbusha shule Mambo ya dy/dx Click to expand... Poa kabisa
nellwan JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 378 Reaction score 682 Feb 10, 2018 #7 Mgeni karibu sana. Usisahau umbea wa kijiwe nongwa Sent from my SM-N910P using JamiiForums mobile app
Mgeni karibu sana. Usisahau umbea wa kijiwe nongwa Sent from my SM-N910P using JamiiForums mobile app
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Feb 11, 2018 #8 Krb sana JF.