The Boss ...............si lazima awe mama wa Uswahilini shemeji...........hta hao unaowaita wasomi wanakuwa abused na wasomi wenzao sema tu hawako tayari kusema untill mambo yamewafika shingoni. Lakini kama ulivyosema I always admire mwanamke aliye mvumilivu but Godh its hard meeen

Mkuu it depends even physical abuse most of the times go hand in hand with emotional abuse.

Also depends na scale ya tendo sababu kumkata mtu mkono akawa kilema (cripples a person) na kumwambia mtu kila siku he/she is good for nothing unaweza ukamfanya akakata tamaa na in so doing una-cripple achievements zake

Lakini emotional / psychological abuse effects zake ingawa sio rahisi kuziona.., huwa zinambadilisha mtu na kuwa a monster au kupoteza ule ucheshi na furaha yake kitu ambacho effect yake inaweza kuwadhuru hata watu wanamzunguka (its destroys a person completely)

Kwahiyo in short hakuna kitu bora hapo na sometimes even emotional abuse zinaacha kovu kwa mtu ambalo haliwezi kufutika.
aAise.....Nilishapitia zote, lakini kwangu hakuna iliyo mbaya kama emotional abuse kuna wakati ilikuwa kila nikijitazama huwa najiona siko yule niliyekuwa unapoteza ucheshi wako/kuna wakati unaweza jisikia mnyonge tu,unaweza jikuta hujithamini na kufanya mambo yaliyo nje ya utashi wako veeeeeeeeeery bad!inahitaji ushauri wa hali ya juu na marafiki walio wema kukutoa hapo.