utume cv iliuombe kazi au?siku hi makampuni karibia yote yanatumia email kupata cv za waombaji kazi...Habari wana JF.
Natafuta employment agencies hapa Tanzania.
Nataka kutuma CV yangu.
Msaada wenu unahitajika
www.mygoli.com , www.shugulika.com , www.kazitanzania.com
Pia unaweza tembelea www.naombakazi.com kwa nafasi mbalimbali za kazi
Mbona nashindwa kuingia kwenye hiyo website (I mean I cannot register into it)Kuna site nyingine hapa www.brightermonday.com
Hawa naona kama wako ahead kati ya staffing firms za Tanzania.
sure sure tena wapo wengi sana wanasafiria nyota za watuAngalia mengi ya kitapeli wanaweza kutumia CV zako kwa kazi zao wenyewe
Tembelea Rada recruitment http://www.radarrecruitment.com