C Claranito Member Joined May 26, 2014 Posts 28 Reaction score 3 Jun 17, 2014 #1 Habarini za kazi! Tafadhali naomba msaada kwa yeyote ambae anaefahamu amendments zozote zilizofanyika katika sheria hii ya ajira naomba anifahamishe. Asanteni.
Habarini za kazi! Tafadhali naomba msaada kwa yeyote ambae anaefahamu amendments zozote zilizofanyika katika sheria hii ya ajira naomba anifahamishe. Asanteni.
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,155 Reaction score 445 Jun 17, 2014 #2 Hakuna!
C Claranito Member Joined May 26, 2014 Posts 28 Reaction score 3 Jun 17, 2014 Thread starter #3 Asante Prince.
Mc Donald Member Joined Oct 6, 2010 Posts 21 Reaction score 3 Jun 26, 2014 #4 ingia hapa Parliament of Tanzania then shuka mpaka chini kabisa kwenye orodha ya Glossary na utaona neno ammendments, fungua na uandike Act yako, itakuletea majibu. au nenda moja kwa moja hapa Parliament of Tanzania
ingia hapa Parliament of Tanzania then shuka mpaka chini kabisa kwenye orodha ya Glossary na utaona neno ammendments, fungua na uandike Act yako, itakuletea majibu. au nenda moja kwa moja hapa Parliament of Tanzania