Habari wa ndugu.
Naomba mnisaidie kuhusu hizi Kampuni kama zipo na msaada wake kwa
jamii/ wanaotafuta Ajira au waajiri.
Je zinaendeshwaje na kuhakikisha watu hawatapeliwi? Mwenye
ushuhuda wa kupata ajira kupitia Kampuni hizi, anisaidie kujua
alifanyaje.
Ahsante sana.