Mkuu hiyo stationery ipo Chato mtaa gani?
Ilo sio jibu ya nilichouliza. Mi nahtaji kujua mtu unapataje faid kwa bei za namna hii?Mbona Bei hizi ni za kawaida tu kwenye maeneo mengi ya chuo hadi kuna wengine wanatoa ha kwa page 20/=