Empower your beggars, our streets are full, Kenyans tell Magufuli

Tatizo siyo wao bali serikali yenu, kabla ya Corona Tz ilikuwa inakamata mamia ya wahabesh wa ethiopia kila mwezi kwenye malori wakienda SA na ukifuatilia huwa wanapita katikati ya Kenya bila document yoyote.
 
Hawa Watanzania ni kero sana, yaani ukiona wanavyopenda kutunisha misuli na walivyo maskini.
Mkuu hivi hizi rohombaya mnazaliwa hivyo hivyo au mnafundishwa? Tanzania ni masikini lakini wakenya wanaishi maisha ya dhiki na taabu pengine kuliko taifa lolote East Africa. Ndio maana maana mnashinda mitandaoni mkijipa sifa za kidwanzi.
 
Yosef Festo,

Ni kitu cha aibu mtu kudhalilisha binadamu mwenzie kwa ajili ya kutojiweza au kwa kuwa kilema. Hadi kuweka picha ya mlemavu eti ni mtanzania? Hongereni kama Kenya hamna walemavu lakini siamin utu wenu umeshuka kiasi hicho. Hilo ni tatizo ndogo sana ambalo mpumbavu yeyote anaweza kulitatua bila kuwanyanyasa walemavu ambao sio wakenya. Shame on you!
 


Sawa tumekusikia. Tutaacha uzembe na kuwajibika bila ya kuwa na makelele kuwa tunawajibika
 
Na hawa malaya kutoka kenya wamejaa huku nao ni nani? Business owners sio?
 
Usiseme huja, wanakuwa lured na wakenya wenzako kuja kuomba omba huko.
 
Omba omba waswahili wamejazana mno kitaaa. Imigration wamezembea sn, wazalendo tutaanza kuwashugulikiaa!! eboo.
 
All scum of Africa love Kenya because its a place of corruption and weak laws..There are Nigerian conmen, Beggers from Tz, Whores from Ug,Rwanda & Ethiopia, Somali terrorists, Southsudan rebels. How does Kenya immigration work? Failed state
No.1 prostitutes in China are tanzanians, beggars in kenya are tanzanians, drug dealers in south Africa arw tanzanians, you were saying?
 
Yaani siku hizi mkenya ili aweze kuishi ni lazima ajihusishe na tz.

Huyo dada hata tukimhoji kwa ufasaha anatokea kanda ipi, sidhani kama anajua, kabila lake wala ndugu aliowaacha huku.

Yaani mtz amesafiri mamia ya km kuja kuomba Kenya, mjinga mmoja kaamua amtumie kwa faida zake.
 
Kwanini hamkumuita balozi wa Tanzania mjadiliane kuhusu swala hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…