EMS Posta kuna nini wanaJF?

SIERA hao sio EMS ni jamaa wa TRA kitengo cha CUSTOMS, wanakusanya ushuru wa serikali.
juzi nimetumiwa divine sensual nimechajiwa shs 20,000/ wakati thamani ya mzigo ni usd 7. jamaa wa customs noma sana.
 

Mkuu
Mimi hapa UK natuma mzigo kwa kupitia watu wa kawaida kama mawakala, na mara ya mwisho nimetuma mzigo wa kilo 12, kila kilo pounds 4 kwa zanzibar kama Dar ni 5 na mzigo within 1 week to two weeks, na shipping yao ni flights.
Kutumia mawakala ni huduma rahisi na ya kuaminika kuliko hao poster au Ems
Jengine hawa poster gharama zao ni kubwa kuliko thamani ya kitu, Jaribu ku post simu yako tu kwa njia ya poster utaona gharama yake zaidi ya pounds 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…