Idd Salum Kidedea "Ulamaa"Mimi shabiki kindakindaki wa timu ya young african uku nikiwapenda vibaya sana majogoo wa anflied liverpool naomba leo utaje mtangazaji wa mpira wa miguu anayekuvutia kwa saa tanzania hii.
1.Ramadhan Ngoda
2.Hashimu Ibwe
3. Barack Adson Mpenja
4. Nurdin Suleiman
5. Paschal Kabombe
Haha itakuaVipi babaa Nurati Mfuga Njiwa na ofisho domino kinwaiya hamjawaona? Au wanapiga kelele!
Tena huyo mwanamke huwa anapayuka hovyo bila kupangilia maneno, colorless voice.Vipi babaa Nurati Mfuga Njiwa na ofisho domino kinwaiya hamjawaona? Au wanapiga kelele!
Hata mimi yule dada kusema kweli naonaga kama anapwayuka tu.Tena huyo mwanamke huwa anapayuka hovyo bila kupangilia maneno, colorless voice.
Sijui huwa wanaangaliaga criterias zipi kumpa mtu karatasi these days