Ticha Senior Member Joined Aug 26, 2007 Posts 135 Reaction score 8 May 28, 2010 #1 nahitaji encater kwa ajiri ya materials ya kusoma mambo mbalimbali, kudaunload nimeshindwa,naomba mnisaidie
nahitaji encater kwa ajiri ya materials ya kusoma mambo mbalimbali, kudaunload nimeshindwa,naomba mnisaidie
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 May 28, 2010 #2 kama uko dar,kamuona jamaa anatengeneza computer pale sinza kijiweni karibu na Sasatel ,workshop yake inafuata baada ya ATM ya Barclays lakini mtayarishie hela ya soda
kama uko dar,kamuona jamaa anatengeneza computer pale sinza kijiweni karibu na Sasatel ,workshop yake inafuata baada ya ATM ya Barclays lakini mtayarishie hela ya soda