End of the Road.... kila mwanaume... i need a JF Rescue team

wewe utakuwa muhuni mimi naeleza hisia za kweli
 
Karibu kwangu, nitakusaidia kwa moyo wote.
 
good umekosoa
sasa nipe ushauri
 
Ni vyema ukawa mvumilivu pia jaribu kufuta yale mawazo. Pia jitahd kujiweka busy mda wote ili usiwe na matamanio ya aina hyo. Hzo hsia huja kwa muda ambao utaanza kuwaza mambo hayo.
 
tatufa mjamaaa mmoja boya boya hata akuhug

hamu na matamanio niliyonayo yanajumuisha wanaume wote kuanzia maboyaboya mpaka wale waliosmart

boyoboya linaweza kukulazimishia tena peku yaogope kabisa
 
Wanchekesha.....kijidude hiko ndicho kinacholeta kiama? Regardless dhambi inatendeka kabla ya tendo so mi nimeshauri njia mbadala ya kukabiliana ashki zake asije akamsaliti mpenziwe
 
hamu na matamanio niliyonayo yanajumuisha wanaume wote kuanzia maboyaboya mpaka wale waliosmart

boyoboya linaweza kukulazimishia tena peku yaogope kabisa
sio boya kiiivo ngoja ni kupm hapa wanga wengi
 
usije ukabaka kuku..teh
acha kuwaza ngono my dear...
mbona mimi nina miaka mitano napotezea tu..
big deal ni nini hata...
Wewe Smile mwogope Mungu. Unamdanganya mwenzio Marytina kuwa una miaka 5 bila ... wakati week end iliyopita tulikuwa pamoja na week end hii tumepeana bonge la appointment! Au labda siku ndiyo unahesabu mwaka? Samahani kama utachukia darling, ila next time nitafanya siri kabisaaaaa.
 
Ni vyema ukawa mvumilivu pia jaribu kufuta yale mawazo. Pia jitahd kujiweka busy mda wote ili usiwe na matamanio ya aina hyo. Hzo hsia huja kwa muda ambao utaanza kuwaza mambo hayo.
Kibongo bongo hata uwe waziri hukosi wasaa wa kuwaza mambo flani tuwe wakweli
 
Idle Hands are the devils playthings...

Epuka vishawishi.., fanya mazoezi physically na kuwa busy everytime by the time upo mwenyewe utakuwa tired na wala hautawaza ngono

If all of the above does not work..., try phone sex, skype n.k. na Mr. wako you can do a lot even if mpo mbali mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…