Endapo 'Jeuri' hii ya TFF na GSM yao itafanyika Kesho tujiandae kwa 'Maafa' makubwa sana Benjamin Mkapa Stadium

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwa taarifa za chini chini ( ambazo hata hivyo naendelea Kuzithibisha ) ni kwamba katika hali ya Kuikomoa Simba SC na Kuijeruhi Kisaikolojia kuna baadhi ya Viongozi wa TFF ( wenye vinasaba na Yanga SC ) kwa Kushirikiana na GSM Kesho kabla ya Mechi wanapanga kwa Makusudi kuyarejesha Mabango ya GSM ambayo yameondolewa leo kwa Hoja nzito na zenye Mashiko za Simba SC.

KEROZENE ( alias ) Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Fella nichukue fursa hii kuiomba Serikali na Vyombo vyake muhimu vya Ulinzi na Usalama kulifuatilia na kuliangalia hili kwa Umakini mkubwa lisije kuleta Maafa makubwa Kesho Uwanjani na Kuichafua taswira nzima ya Soka la Tanzania na Medani ya Michezo kwa ujumla.

Kilicho nyuma ya huu Mpango wa Kuikomoa ( Kuwakomoa ) Simba SC baada ya leo Kuigomea GSM na Udhamini wao katika Pre Match Meeting ni kuyarejesha Mabango ya GSM Uwanjani Kesho ili Simba SC wajawe / wapate Hasira kisha Wagome na hatimaye muda ukifika Mwamuzi aziite Timu na Simba SC isipotokea basi Yanga SC Kikanuni ipewe Ushindi wa Goli Tatu na Magoli Matatu na Simba SC iumbuke na Yanga SC izidi Kuchanja Mbuga katika Msimamo wa 2021 - 2022 NBC Premier League.

Ni matumaini yangu hili litadhibitiwa.
 
We fala wacha uchochezi wa ki-interahamwe. Tangu lini Mabango yakacheza mpira wewe?
 
Baada ya kukosa Ubingwa kwa soka la uwanjani,
Yanga wameamua kutafuta Ubingwa ndani na nje ya uwanja ikihusisha kila aina ya raslimali.
Kwa mikakati hii yenye hila wanaweza kufanikiwa.
 
We fala wacha uchochezi wa ki-interahamwe. Tangu lini Mabango yakacheza mpira wewe?
Njia ndiyo akili boga, mpira siyo kubutua tu pale kwenye pitch. Mpira ni biashara, kama nyinyi mmezoea mikataba ya kimangungo hayo ni ya kwenu. Huko laliga real, barca na bilbao wamegomea mkataba kama huu wa kishoga. Uwe unawaza kwa kutumia ubongo sio kwa kutumia makabwili.
 
Makolo mnateseka sana... Sasa Hadi mango(logo,bana) mnaziogopa he Yanga wenyewe c mtawakimbia kabisa
 
Genta katika ubora

Acha inyeshe tuone panapovuja... Jiesiemu shikilia hapohapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa za chini chini ( ambazo hata hivyo naendelea Kuzithibisha ) ni kwamba katika hali ya Kuikomoa Simba SC na Kuijeruhi Kisaikolojia kuna baadhi ya Viongozi wa TFF ( wenye vinasaba na Yanga SC ) kwa Kushirikiana na GSM Kesho kabla ya Mechi wanapanga kwa Makusudi kuyarejesha Mabango ya GSM ambayo yameondolewa leo kwa Hoja nzito na zenye Mashiko za Simba SC.

KEROZENE ( alias ) Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Fella nichukue fursa hii kuiomba Serikali na Vyombo vyake muhimu vya Ulinzi na Usalama kulifuatilia na kuliangalia hili kwa Umakini mkubwa lisije kuleta Maafa makubwa Kesho Uwanjani na Kuichafua taswira nzima ya Soka la Tanzania na Medani ya Michezo kwa ujumla.

Kilicho nyuma ya huu Mpango wa Kuikomoa ( Kuwakomoa ) Simba SC baada ya leo Kuigomea GSM na Udhamini wao katika Pre Match Meeting ni kuyarejesha Mabango ya GSM Uwanjani Kesho ili Simba SC wajawe / wapate Hasira kisha Wagome na hatimaye muda ukifika Mwamuzi aziite Timu na Simba SC isipotokea basi Yanga SC Kikanuni ipewe Ushindi wa Goli Tatu na Magoli Matatu na Simba SC iumbuke na Yanga SC izidi Kuchanja Mbuga katika Msimamo wa 2021 - 2022 NBC Premier League.

Ni matumaini yangu hili litadhibitiwa.
Wewe mda mwingine usiwe unawadanganya watu apa, mabango ysliyoondolewa ni yale yaliyopo kwenye mabenchi ya wachezaji na iyo ni baada ya tff kugundua waliobandika mabango ayo walikosea kuwaweka wadhamini wenza pale wakati ni nafasi ya mdhamini mkuu peke yake ndo anatakiwa akae pale kwenye mabenchi ya wachezaji, ndio maana sio gsm tu aliyetolewa bali ata azam ameondolewa , lakini mabango ayo yaliyopo pembeni mwa uwanja yanabaki kama yalivyo ayaguswi, kwaiyo propaganda yako ya kusema yanarejeshwa leo imeferi kwa maana jana ayakuguswa ayo mabango ya pembeni mwa uwanja
 
Urudi hapa baada ya mechi..msikimbie tu
kwa mm shabiki niliyeanza kupenda mpira kabla kushabikia Yanga kushinda game ya leo si kitu nimeweka guarantee ila kuna kila dalili wapinzani wana hofu ya kupoteza ndo maana wanademka demka kishamba hivi,hapa nitarudi hata km Yanga tukifungwa
 
Kwamba Simba awe na hofu ya kufungwa na yanga? Hoja zilizotolewa hazina mashiko?
 
Back
Top Bottom