MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwa taarifa za chini chini ( ambazo hata hivyo naendelea Kuzithibisha ) ni kwamba katika hali ya Kuikomoa Simba SC na Kuijeruhi Kisaikolojia kuna baadhi ya Viongozi wa TFF ( wenye vinasaba na Yanga SC ) kwa Kushirikiana na GSM Kesho kabla ya Mechi wanapanga kwa Makusudi kuyarejesha Mabango ya GSM ambayo yameondolewa leo kwa Hoja nzito na zenye Mashiko za Simba SC.
KEROZENE ( alias ) Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Fella nichukue fursa hii kuiomba Serikali na Vyombo vyake muhimu vya Ulinzi na Usalama kulifuatilia na kuliangalia hili kwa Umakini mkubwa lisije kuleta Maafa makubwa Kesho Uwanjani na Kuichafua taswira nzima ya Soka la Tanzania na Medani ya Michezo kwa ujumla.
Kilicho nyuma ya huu Mpango wa Kuikomoa ( Kuwakomoa ) Simba SC baada ya leo Kuigomea GSM na Udhamini wao katika Pre Match Meeting ni kuyarejesha Mabango ya GSM Uwanjani Kesho ili Simba SC wajawe / wapate Hasira kisha Wagome na hatimaye muda ukifika Mwamuzi aziite Timu na Simba SC isipotokea basi Yanga SC Kikanuni ipewe Ushindi wa Goli Tatu na Magoli Matatu na Simba SC iumbuke na Yanga SC izidi Kuchanja Mbuga katika Msimamo wa 2021 - 2022 NBC Premier League.
Ni matumaini yangu hili litadhibitiwa.