Kama JK atapita basi mjue ya kwamba kuna mpango madhubuti wa kuhakikisha kuwa wabunge wote wa CCM wanamchagua LOWASSA kuwa spika wa bunge(mtakuja kunikumbuka jamani).Huo ndo uozo wa CCM wao ni kulindana tu YAANI INANIUMA VIBAYA SANA.
WATANZANIA KAENI CHONJO MUONE VITUKO MWAKA HUU KWANI LOWASA ATAKUWA SPIKA WA BUNGE NA VIGOGO WOTE WALIOFIKISHWA MAHAKAMANI WAMESHASHINDA KESI ZAO NA HIVYO JK AKIPITA TU WATAIDAI SERIKALI YA JK FIDIA YA KUDHALILISHWA.
CCM watamsafisha Lowassa ili awe mgombea safi wa urais kupitia CCM 2015.
JAMANI MSIMUWEKE JK MADARAKANI TENA MWAKA HUU NI HATARI......
- Waokota chupa za plastiki wataongezeka
- Wamama wauza samaki wataongezeka
- Mateja wataongezeka
- Wapiga debe wataongezeka
- Omba-omba wataongezeka
- Darasa la saba aliyepeta wastani wa 0% atakwenda sekondari
- Wahindi wataiba mara dufu ya wanavyofanya sasa
- Watanzania watatafunwa na laana ya Mwenyezi Mungu kwa kuchagua Chama Cha Mafisadi