R Resilience JF-Expert Member Joined Jan 4, 2023 Posts 1,096 Reaction score 4,948 Jan 22, 2025 #1 Endapo Mbowe angeamua kumuunga mkono Lisu je wananchi wangeshuhudia demokrasia iliyoonyeshwa? Kuhusu imani kwa umma, je mjadala unaoendelea sasa ungekuwepo? Je, angepata heshima aliyonayo sasa hata baada ya kushindwa?
Endapo Mbowe angeamua kumuunga mkono Lisu je wananchi wangeshuhudia demokrasia iliyoonyeshwa? Kuhusu imani kwa umma, je mjadala unaoendelea sasa ungekuwepo? Je, angepata heshima aliyonayo sasa hata baada ya kushindwa?