Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Eti mi nashangaa ambao walikua hawajui! Wamepigwa butwaa leo mbona liko wazi!Huyu ni Freemasonry wa siku nyingi sana.
Sema Baba Gwajima.
Fact#100%Tulishasema siku nyingi tukaitwa haters.
Huyu jamaa anachoimba na mafanikio yake ni kifo na Usingizi.
Mi nawashangaa eti kajuaje!Kujua kwamba jay z ni illuminat hauhitaji kuwa illuminat ukiona symbols wanazopotray kwenye video zao unajua....same to bwana nasibu..anavyoonesha vidole vitatu ile sio swaga ni order inabidi afanye vile ndo ..alama ya vidole vitatu ndo inatumika sana sasa hivi..angalia pia video ya drunk in love ya beyonce na jay z utaona...
Cc matola ni taasisi kivp naomba ufafanuzGwajima ni taasisi usimchukulie powa, muulize Bashite atakueleza vizuri.
Kwani kasema usimsikilize?umeshindwa kuacha kusikiliza nyimbo za kina jay z,beyonce,lil wayne,sijui nicki minaj n.k ambao ni freemason waliokubuhu eti leo unataka uache kusikiliza nyimbo za diamond kisa mtu fulani kasema...akili za kuambiwa..........
Ingia "jamii inteligence "kuna uzi wa freemason full,kajisomee!Kwahiyo na team ya mpira inayojiita simba ni freemason pia.
Ebu lete somo kuhusu freemason kwanza
Utamshtaki ww... maana uwezo unao. usiseme tuta ... isemee nafsi yako mwenyeweIla Soon,Gwajima tunakushitaki...utalipa pesa nyingi sana!we jichanganye tu ujifanye unajua sana kuchamba
Ukijua hili wenzio wanajua lile
Sawa ngoja tusubiri.Kwa sababu ni Mtumishi wa Mungu kama avyotambulika na wengi,
Nadhani anatakuonyesha na kufafanua kuhusu Mambo ya "Freeemasons".
Kwani kasema usimsikilize?
Sijaona kaongea hivyo! Yy alikuwa anaongea na familia yake wengine hayawahusu!
Btw wote uliowataja ni chama moja ,tofauti ni levels tu,so usikilize au usisikilize ni ww tu mkuu,lkn hiyo haiondoi ukweli kuwa dai ni mason tangu zamani inajulikana
Salama ndugu yangu. Nimekumiss piaNa kusalimia
Ila Gwajima jamani ha ha ha ha hicho ni kionjo sasa sijui habari kamili itakuwajekaomba msamah ndio mana gwajiboy katoa kionjo tu xax akitak gwaji atoe dude basi amchokoze tena
hahahahahhahhaha sasa kweli hata watu hawajiongezi!Akili ndogo ni mtaji wa matapeli! Jamaa anajua kucheza na akili za wabongo kwani anajua zinapoanzia na zinapokomea!
HAHAHAHAHHAHHAA yani wakakaa kabisa wanasikiliza kitu wnachokijua miaka yote!Na leo watu walifurika kusikia akimchambua Diamond.....Duh Watanzania sijui uwezo wetu wa kufikiri unaishia wapi.
kama yule mshilawadu number moja tanzaniaHa ha ha haaaaaa
Kwavile ungeniburuta nijiunge nanyi wapenda udaku.
kama yule mshilawadu number moja tanzania
Gwajima mwenyewe ni free mamson, ila watu hawajui, watu wanadhani yupo pale kanisani kwa ajili ya Mungu. ila uzuri wafuasi wake hawana makosa maana hawajui. Gwajima hana Muda wa kukakaa membary kumuongelea Mungu, bali watu binafsi, hata kuongelea jamii. Leo Diamond asingemtaja kwenye wimbo wake pamoja na ufree mamson wake, ingebaki siri yake ila sababu tu ametajwa. Mtu wa wamungu hangoji akosewe ndipo akemee maovu ya mtu, Watanzania tufumbue macho, Gwajima sio wa Mungu bali ni washetani, anaepitia mlango wa Mungu kujinufaisha, huyu ni free mamson mkubwa tu.Gwajima Kiukweli Kawashika akili wajinga du!!
Hivi utamjuaje Frmsn wewe ukiwa si frmsn!!
Huu uhuni Ni wapuuzi utawaingia akilini
habar kamil nikutuonyesh video na tareh alio jiungaIla Gwajima jamani ha ha ha ha hicho ni kionjo sasa sijui habari kamili itakuwaje