Endapo nitachukua mkopo kwenye kampuni za mawasiliano na nisirejeshe, nini kitatokea?

Kwanini unataka ukope na usilipe? Kwa nilichokiona unatakiwa uwe na kipato ndo inakua vizuri maaana ukikwama lakini unauhakika baada ya kipindi fulani utapata hela unawarudishia maisha yanaenda safi kabisa...
 
Watanzania sisi utasikia mabenki yanapenda kuwapa mikopo wahindi, kwasababu wanalipa. Tz mtu anakopa kabisa akiwa kajiandaa kutolipa. Akiwa ana shida anabembeleza we mpe mkopo uone.
 
Chukua mkopo na ulipe kama inavyotakiwa Leo dunia ya Leo Kuna mambo mengi ya ghafla yanayohitaji mtu ajisaidie mwenyewe bila kuombaomba kwa watu wengine mfano huo mkopo unaweza kukusaidia kulipa luku pale umeme unapokatika ghafla, shida ndogo za ghafla kama bili ya maji au bili zozote ndogo ndogo za ghafla, gesi kuisha ghafla na issues zingine ambazo siyo vizuri kuwa ombaomba Bali unaweza kujitatulia kwa huo mkopo na kulipa Ili ukafae tena wakati mwingine sasa kama utaiba hiyo hela ya mkopo alafu ukipata shida uibe za marafiki na ndugu kwa kushindwa kulipa mwisho na utapeli wako unabaki bila sehemu ya kukusaidia ukipata shida.
 
Watanzania sisi utasikia mabenki yanapenda kuwapa mikopo wahindi, kwasababu wanalipa. Tz mtu anakopa kabisa akiwa kajiandaa kutolipa. Akiwa ana shida anabembeleza we mpe

Chukua mkopo na ulipe kama inavyotakiwa Leo dunia ya Leo Kuna mambo mengi ya ghafla yanayohitaji mtu ajisaidie mwenyewe bila kuombaomba kwa watu wengine mfano huo mkopo unaweza kukusaidia kulipa luku pale umeme unapokatika ghafla, shida ndogo za ghafla kama bili ya maji au bili zozote ndogo ndogo za ghafla, gesi kuisha ghafla na issues zingine ambazo siyo vizuri kuwa ombaomba Bali unaweza kujitatulia kwa huo mkopo na kulipa Ili ukafae tena wakati mwingine sasa kama utaiba hiyo hela ya mkopo alafu ukipata shida uibe za marafiki na ndugu kwa kushindwa kulipa mwisho na utapeli wako unabaki bila sehemu ya kukusaidia ukipata shida.
Nimeelewa,nitafuata ushauri wao.
 
Mkuu mnakopaje huko Mpawa? airtel na Tigo? Tuelekezane basi wajumbe
 
Watanzania sisi utasikia mabenki yanapenda kuwapa mikopo wahindi, kwasababu wanalipa. Tz mtu anakopa kabisa akiwa kajiandaa kutolipa. Akiwa ana shida anabembeleza we mpe mkopo uone.
Ndo maana usije ukakubali mtu akakwambia nikopeshe kiasi fulani sababu mtaishia kugombana..mimi nilikua nakopa sana tigopesa nilifikisha 530,000 kama kikomo cha kukopa lengo lilikua nifikishe 1,000,000 ila nikawa naona imekua kama addiction fulani hivi ila hadi leo nimejiwekea akina yangu hio najua nikikwama siku kuna 530,000 nawesa kuipata kwa haraka
 
Back
Top Bottom