Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye sherehe mf Harusi kuna nyama za kuchoma, kukaanga, kuchemsha, mvuke. Vyakula vingi mapishi tofauti. Sikuhizi kuna mpaka uji na ugali, hii yote ni kujaribu kutimiza hitaji la kila mtu.Sio kweli.Kwani wewe vyote unavyokula huwa unavitest??.
Mhhhh!!!,Hizo Sherehe za hivyo ni chache sana.Kwenye sherehe mf Harusi kuna nyama za kuchoma, kukaanga, kuchemsha, mvuke. Vyakula vingi mapishi tofauti. Sikuhizi kuna mpaka uji na ugali, hii yote ni kujaribu kutimiza hitaji la kila mtu.