Endapo Yesu angejaribu kuwalisha watu 5,000 katika dunia ya sasa

Hata wakati ule sio wote walikula wengine walikuwa hata na vyakula vyao....
 
Cha ajabu zaid hatujajua yesu alitumia kipaza
Saut gan kuongea n watu 5000
Scars tunaomba kitabu unamadini meng kias vitab vingi nilivo som vya atheists havina madini kama
Uliyo nayo
 
Ila mkate na samaki sijui walikulaje kwa kweli, au ndio maana chakula kilibaki kingi kiasi kile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…