Endelea kusema fx ni scam

Bro..it's real wala sikutanii...mm na ww hatuna utani wala sina sababu ya kukudanganya that is my trade and I am coplete honest with you......tek it or leave it...
Sasa mimi nakutania unadhani au??? Me pia ni real...[emoji23]
 
FOREX NI WIZII TUU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani ukitoa pesa yako ufundishwa forex ni sawa na mtu anaenunua Odds za kubet kufanikiwa ni ndotooo
Unajishughulisha na nini??
 
Kama hauna maneno mengi Sasa kwanin umeleta hapa?? Ndugu zako wote wamefanikiwa
 
Iyo ni janja janja huo upendo umeutoa wapi ingekua simple ivyo si ungechukua ukoo wenu wote baada ya mda muwe km familia za kifalume .
 
Sijaona mtu kalima viazi kavuna kapiga pesa kaja kupost hapa "endeleni kusema viazi havilipi.."
Kwann watu wa forex show off nyingiii yani kutwa kujionesha hyo ndio inafanya muonekane matapeli sababu inaonekana mnavutia watu wa trade kupitia nyie.. kama kweli unapiga hela we piga usigeuze wenzio fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…