Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hivi mmepatwa na nini ndugu zangu Watanzania? Uendeshaji ulio feli wa CCM unaosababisha nchi kuingia madeni makubwa na kuathiri tija kwa taifa hadi nchi kutegemea kuchimbiwa vyoo na nchi wahisani, kutegemea vyandarua vya bure ili kuwakinga na malaria wake zetu wenye mimba nk huku tunaendelea kuimba MITANO TENA?
Tumelogwa sisi? Nani alitupa Limbwata hata hatuyaoni haya yafanywayo?
Tazama hili deni tunalo enda kudaiwa tutakapo shtakiwa kwa sababu ya maamuzi ya crooks wachache wasio ogopa kufanya lolote?
Tuseme kwa umoja kabisa, CCM NEVER AND NEVER AGAIN for 2024/25 ELECTION