Na ninashindwa kukutajia jina maana vyama vingine havijataja watu wao wa kuwasimamisha.
Ile kazi mfano Urais, ni ya hiari yako mwenyewe ndio maana unachukua fomu na kuomba ridhaa ya kugombea.
Haya makosa ya chama fulani ETI TUNATOA FOMU MOJA ni kumlazimisha mtu wakati pengine kajichokea anataka kurudi kwao kupika urojo