Endeleeni tu kudhani kuwa hii Kauli Mbiu mpya ya Simba SC ya 'Ubaya Ubwela' wamekurupuka tu kuja nayo kwa sasa

Ikifikia kipindi cha usajili, mnapiga sana taarabu, mipasho na vijembe kwa jirani ila ligi ikianza mnaanza vilio vya bahasha, kisha mnakuja kwa fair play, kisha mnakuja kutimua kocha na mwishoni mnamalizia kwa Mangungu.
Wezi/majambazi wengi uwa wanadakwa au kufa kwa mazoea, raia wakishaibiwa sana ujipanga na kuweka mikakati ya kunasa wezi na majambazi kiuraini sana

Haya mazoea na hizi kauli zenu za kukalili, mjipange kisaikorojia msije kufa kwa presha
 
Nabii hakubaliki kwao, ila Mamelodi, Belouizdad na Al Ahly walikutana kazi ngumu kwa Yanga ila kwavile hamtaki kuonekana ni viande kwa Yanga basi endelea kujifariji kuwa Yanga wanashinda kwa ujanja ujanja wa kuhonga na uchawi.

Uzuri Yanga msimu uliopita alipata test ya kutosha sana imecheza dhidi ya timu 4 zilizopo kwenye top 10 ya CAF na ni timu moja pekee ndio iliyoweza kumfunga tena ni away.

Ila wengine wote wameshindwa na mbaya zaidi kuna timu mbili zikapigwa kipigo cha paka mwizi, mmoja kala 4 mwingine kala zake 5 ila huyu wa tano mpaka leo yeye hataki kukubali kama kapigika kihalali.
 
Kudadadeki ile mianya yote ya Tigo Pesa, Ushirikina na Usaliti wa ndani Mafia wa Timu wameshaiziba hivyo mtakoma.
Utupatie kwanza mrejesho wa zile siku 14 ulizomtaka Mwenyekiti wako kujiuzulu kwa hiyari yake mwenyewe, kama tayari zimeisha au bado! Maana kuna watu humu jukwaani, huwa wanahisi unaonewa eti pale unapoitwa Popoma.
 
Endelea tu kujaa taratibu katika 18 zangu ili ukipate kile ambacho Wenzako wamekipata na sasa wanajuta huko waliko.
 
Kudadadeki ile mianya yote ya Tigo Pesa, Ushirikina na Usaliti wa ndani Mafia wa Timu wameshaiziba hivyo mtakoma.
Umbumbumbu ni mzigo,sijawahi sikia timi inakuwa ma kauli mbiu kila msimu.Najua,Never walk alone,Halls Madrid nk,hazibadiliki lakini kwenye mtumbwi wa vibwengo kauli mbiu kila msimu na mengine hara hayana ma ana.
 
Utupatie kwanza mrejesho wa zile siku 14 ulizomtaka Mwenyekiti wako kujiuzulu kwa hiyari yake mwenyewe, kama tayari zimeisha au bado! Maana kuna watu humu jukwaani, huwa wanahisi unaonewa eti pale unapoitwa Popoma.
😂😂Popoma ana ugonjwa wa kusahau
 
Back
Top Bottom