Endesha+Simu=Kifo = vibandiko hovyo kabisa

Endesha+Simu=Kifo = vibandiko hovyo kabisa

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
nimeshikitika kuona vibandiko hivi yva magari. endesha+simu=Kifo. nafahamu kwamba ajali zimetokea kwa matumizi ya simu wakati madereva wanaendesha. ila waliounda msemo huo nauchuklia kwamba ni matishio yasiyo na msingi. ambacho kingepaswa kufanyika ni kuwaeleza madereva nini cha kufanya badala ya kuwatishia. vipo vibandiko vizuri mfano: endesha kwa usalama. na vingine vingi ambavyo vinatoa mawazo chanya kwa madereva ambayo yanahimiza mabadiliko badala ya kuwatishia. au wadau manaonaje? huu ni mtazamo wangu binafsi
 
Back
Top Bottom