Endgame In ODM as Raila drops Ruto?


I fully subscribe to this view.......................
 

Uislamu wa Kenya ni kule mwambao ambao wanataka kujitenga baada ya wakristu kuwabana mbavu.........................mwambao wanataka kurudi Zanzibar of all the places...............yaani kabla ya 1964 accord kati ya british na Sultan wa Zanzibar...................madai yao ni kuwa hawakushirikishwa........................................hili labda mahakama ya kimataifa ndiyo yaweza kutoa suluhu..................
 
Haya mkuu nimekubali yaishe! Hakika Kenya unaijua vizuri na haubahatishi.Nadhani hata hii jumuiya ya Africa mashariki itakuwa kama urafiki wa mashaka vile kwani wenzetu ni wabaguzi sana.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Usidhani. Huo ndo ukweli!! kuna ubaguzi wa kikabila kuliko maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…