mke wangu alichunguzwa akaambiwa ana endometritis akapewa sylate tabs 1x1 kwa siku 5 na cifran CT 1x2 kwa siku kumi ila tatizo halijaisha. mke wangu alikuwa akiona damu siku 3 ya 4 anakauka ila sasa anaona damu zaidi ya siku 7 kuna namna ya kumsaidia mzunguko wake urudikama ilivyokuwa awali yaani awe anaona siku zake siku 3 ya 4 awe amekauka? na endometritis inasababishwa na nini?
Lengo langu la kufungua JF Doctor leo ilikuwa niulize juu ya tatizo hili na ufumbuzi wake,please
wataalam tupatieni msaada juu ya hili.
Mbona kama hii habari ni ya muda mrefu kidogo, maana naona ilianzishwa hapa jamvini mwaka 2012...!!!
Mkuu wewe unatakiwa umtibie mke wako hutakiwi kujuwa mke wako hayo maradhi ingelikuwa hivyo Daktari angelikwambia kila kitu sasa mimi sio Daktari ila ninakwambia mke wako ana matatizo ya uvimb ndani ya mfuko wa uzazi (Endometritis) usije kumuambia mke wako utamstua roho yake Soma hapa kwa kiingereza kama unajuwa.Mke wangu alichunguzwa akaambiwa ana Endometritis akapewa sylate tabs 1x1 kwa siku 5 na cifran CT 1x2 kwa siku kumi ila tatizo halijaisha.
Mke wangu alikuwa akiona damu siku 3 ya 4 anakauka ila sasa anaona damu zaidi ya siku 7 kuna namna ya kumsaidia mzunguko wake urudikama ilivyokuwa awali yaani awe anaona siku zake siku 3 ya 4 awe amekauka?
Je, Endometritis inasababishwa na nini?