Enemies became Friends

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kuna story ya kweli ila imebaki kumbukumbu kama picha niliyoweka hapo chini.

Kwa historia fupi kama mtakuwa na kumbukumbu vita ya Vietnam miaka Nov 1, 1955 – Apr 30, 1975.
yenye sababu nyingi kuzielezea zitakuwa na story ndefu.

Vita iliyochuka miaka 20 ikichochewa na sababu za ndani na kuungwa mkono na mataifa mawili ambayo kwa ufupi ni kama ndio yalikuwa yanapigana kwenye uwanja Vietnam. Mataifa hayo mawili yenye ushawishi wa bepari na kikomunisty. Vita hii iliwapa wakati mgumu sana upande wa wamarekani kutokana na jeografia ya Hali mbaya ya hewa.

Kiufupi wa story niliyotaka kufupisha ni kwamba wa vetinamu wengi waliokuwa wanapinga na wengine kukubari maifa haya mawili wengi wao waliingia vitani kwa kila mmoja kufata sera anayopenda.

Tukumbuke vita haina umri Wala jinsia na wanawake waliokuwepo kupigana. Askari mmoja wa kimarekani aliweza kumkata mwana dada mmoja wa kujitolea aliyejisalimisha wakati vita ikifika ukingoni.

Baada ya miaka 80's yule askari alikwenda Vietnam kwenye kile Kijiji tena kama rafiki.

 
Tukumbuke vita haina umri Wala jinsia na wanawake waliokuwepo kupigana. Askari mmoja wa kimarekani aliweza kumkata mwana dada mmoja wa kujitolea aliyejisalimisha wakati vita ikifika ukingoni.


kumkata..! ama kumtaka..!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…