Eneo Ekari 1 linauzwa Visiga

Eneo Ekari 1 linauzwa Visiga

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,784
Habari ndugu zangu JF.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eneo la Ekari moja linauzwa. Mmiliki ni dada yangu kaomba nimtangazie
Mahali: Kibaha Visiga, 500m kutoka barabara kuu ya Morogoro
Bei: Tsh 18,000,000 (Mazungumzo yanakaribishwa)
Mawasiliano: 0784 41 41 43 (Mwenye eneo, hakuna dalali)

Asanteni sana.
 
All the best. Je limepimwa na wizara? (Hati ya wizara)
 
Eneo bado lipo, karibuni tufanye biashara. Wekezeni kwenye ardhi, kunalipa sana
 
Eneo bado lipo, karibuni tufanye biashara. Wekezeni kwenye ardhi, kunalipa sana
Eneo lingekua na Hati miliki kutoka wizarani lingeongeza ushawishi

Watu wanapenda sehemu zilizo na documents kamili
 
Back
Top Bottom