Maeneo kama yale inakuwa ni ngumu kuwa na hati ya wizaraAll the best. Je limepimwa na wizara? (Hati ya wizara)
Kama ni hapo basi si VisigaKaka visiga ni ile kituo kimoja kabla ya Mlandizi
Eneo lingekua na Hati miliki kutoka wizarani lingeongeza ushawishiEneo bado lipo, karibuni tufanye biashara. Wekezeni kwenye ardhi, kunalipa sana