Eneo - Kibamba- Kibwegere, Kiluvya

Eneo - Kibamba- Kibwegere, Kiluvya

Laiswa

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
61
Reaction score
94
Wakuu kwa Mil 3- 5 naweza pata kiwanja cha makazi kwa maeneo tajwa hapo juu ?
 
Lipo kibwegere mkuu unavuka ule mto n 30 Kwa 29 m 6 km upo fresh kesho twende
 
Wakuu kwa Mil 3- 5 naweza pata kiwanja cha makazi kwa maeneo tajwa hapo juu ?
Eneo lipo Kiluvya madukani ukishuka pale Pikipik buku tu nicheki kwa 0656652250
 
habari. bado unacho kiwanja. ukubwa wake, na umbali kutoka Madukani kilometer ngapi
 
Mimi pia nahitaji kiwanja ila kiwe na ukubwa wa square mita kuanzia 800 hadi 1200, maeneo ni either Kibamba shule, Kibamba Chama, au Gogoni na bajeti yangu inaanzia Millioni 5 mwisho 10 mill.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Umeshapata?
 
Mlandizi Vikuruti
0757503034
 
Back
Top Bottom