Rydon Jovial
New Member
- Dec 14, 2015
- 1
- 0
Sqm 9,276 ukitoa barabara na sehemu ya kuchezea tufanye labda ni Sqm 1,000Eneo linauzwa haraka, Lipo Kinzudi Goba,
Ukubwa- 9,276 square metres,
Kimepimwa,
Kuna nyumba kubwa ambayo haikumalizika yenye umeme na Kisima cha maji ya chumvi,
Bei yake kila kitu ni Tsh 850,000,000/=mazungumzo yapo,
Kwa atakaehitaji wasiliana na namba hizi 0713934683 au 0758585864
Yaleyale ya wajanja kununua ekari moja kwa laki nne, na wao kuja kuuza kwa milioni 32.Uchizi kweli hauna dawa kwani iyo pesa unapata nyumba mbili ilala ama kariakoo ya jangwani
850,000,000/=haaa napata nyumba nzuri na eneo kubwa oysterbay au mikocheniEneo linauzwa haraka,Lipo Kinzudi Goba,
Ukubwa- 9,276square metres,
Kimepimwa,
Kuna nyumba kubwa ambayo haikumalizika yenye umeme na Kisima cha maji ya chumvi,
Bei yake kila kitu ni Tsh850,000,000/=mazungumzo yapo,
Kwa atakaehitaji wasiliana na namba hizi 0713934683 au 0758585864