zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
kuna madini gani hapo mzeeEneo lenye ukubwa wa heka 8 lilio pewa kibari na wizara hisika linauzwa na limepewa kibari na serikali na lina nyaraka zote muhimu
-Lipo kijiji cha kwankonje
-kitongoji chaperu
-wilaya ya bagamoyo
Bei mill 95
Simu 0712690760
Ni Madini ya dhahabu
Dhahabu Bagamoyo??Ni Madini ya dhahabu
Alipaswa kusema Mawe sio madiniDhahabu Bagamoyo??
Sijawahi kusikia aisee
Mawe sawa Mkuu wanguAlipaswa kusema Mawe sio madini
Hajakosea hata mawe ni madini kama umesoma gemeology utaelewaDhahabu Bagamoyo??
Sijawahi kusikia aisee
Alipaswa kusema Mawe sio madini
Umeelewa topic lakini??Hajakosea hata mawe ni madini kama umesoma gemeology utaelewa
Nimeelewa sana tu na Wewe nimekuelewa vizuri ulivyomshauri aseme mawe na sio madini ndio maana nikakuelewesha hata mawe ni madini hiyo ni elimu tu usichukieUmeelewa topic lakini??
Au umejisikia tu kukosoa bila kujua unakosoa nini??
Ye kasema Eneo analouza lina dhahabu,
Sasa Bagamoyo kuna machimbo ya dhahabu??
Ni Madini ya dhahabu
Ndio maana nikasema hujaelewa Mkuu, mi nimemshauri aseme mawe, sio Dhahabu. Sababu sifikiri kama Bagamoyo kuna dhahabuNimeelewa sana tu na Wewe nimekuelewa vizuri ulivyomshauri aseme mawe na sio madini ndio maana nikakuelewesha hata mawe ni madini hiyo ni elimu tu usichukie
Bado Ujaliuza Tu.Karibuni sana
I see. Hivi Kwankonje sio Handeni kweli? Jirani na Zavuza na KibinduNi Madini ya dhahabu