JUKUMU
Member
- Apr 5, 2009
- 85
- 39
Habari za usiku huu wadau/wanajamii forum.
Kwa ufupi tu, kwa wale/Yule ambaye yuko tayari kuwekeza kwenye sector ya uzalishaji(maji, juice, pombe, unga au product yoyote inayohusu chakula). Karibu Kilimanjaro, kuna eneo tayari Lina jengo kubwa( limekamilika kabisa), kuna mashine ya kuchuja maji(RO). Kuna kisima cha kudumu( borehole), maji ya serekali yapo pia, umeme ni three phase, kuna baadhi ya mashine ila kulingana na madiliko ya technology kwa sasa hazitafaa.
Kwa yoyote ambaye yuko tayari kuja kufanya biashara kama hizo za uzalishaji, karibu DM ili tuyajenge zaidi.
Asante.