House4Rent Eneo la Bar/ Mgahawa unapangishwa Sinza

House4Rent Eneo la Bar/ Mgahawa unapangishwa Sinza

Ms Billionaire

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
2,452
Reaction score
4,955
Mgahawa/ Bar ipo maeneo ya sinza mugabe. Kodi ni laki tatu na nusu maongezi yapo. Unakodishiwa viti pia na eneo ni kubwa la kutosha.
 
Wadau hii ni bonge ya offer. Unapata eneo, lina parking, kuna viti tayari na jiko liko vizuri kabisa. Ni sehemu iliyochangamka sana. Kwa 350,000 tu kwa mwezi.
 
Wadau hii ni bonge ya offer. Unapata eneo, lina parking, kuna viti tayari na jiko liko vizuri kabisa. Ni sehemu iliyochangamka sana. Kwa 350,000 tu kwa mwezi.
Iyo ndio faida yenyew unampa mweny pango emu punguzeni kodi
 
Iyo ndio faida yenyew unampa mweny pango emu punguzeni kodi
Sehemu hujaiona unaanza maneno haya njoo na laki😂 yani sehemu umejengewa na gazebo kabisa, jiko na counter umetengenezewa na bado unataka kwa elfu 50. Ila Watanzania🤣
 
Back
Top Bottom