Linafaa kwa biashara gani?Mwenge .... 200k
Tilia mkazo kua ni eneo la wazi, waweza kuta ni kwe service road labdaBei mserereko Sana hyo, ungetupia na picha , we jamaa hutaki madalali wale , mana ilikuwa ni issue ya sekunde mbili tuu kupata mteja
Yaani ilikua ni eneo la wazi kwa maana ya kwamba ni mpaka kati ya nyumba moja na nyingine hivyo nlikuta wameweka geti mm ndio nikatengeneza sio barabarani kabisa kutoka barabarani nyumba ya pili yakeTilia mkazo kua ni eneo la wazi, waweza kuta ni kwe service road labda
Hii frame bado ipo?Eneo lilikua la wazi nmejenga sio sehem yakubobolewa ilikua ni sehem ina geti tu kuziba uwazi
Kwanini usiifanye iwe ofisi ya pili?Bado ipo mkuu