HahahahaHabari zenu wakuu...
Napangisha eneo la biashara lipo mwenge karibu na geti la kuingilia stendi inayojengwa (karibu na ilipokua tamari hotel)
Hili eneo nlipangishwa kama eneo la wazi nikalitengeneza kwa gharama zangu .....sasa nmepata eneo kubwa zaidi hivyo nmehama nmeamua kupapangisha sababu mwenye eneo ajarudisha gharama zangu.
No 0787777338
Bei ni 200000 ×12
ili mambo yasirahisishwe weka maelezo mazuri.Acha kurahisisha vitu nimuuzieje kesi mtu wakati ni sehem ilikua ya parking nikajenga imekua frem ....sio sehem ya barabarani
Kwani hujui kusoma mkuu?? Nmeshatoa maelezo hapo juu....eneo lilikua ni wazi yaan mwenye nyumba aliliacha kama mpaka kati yake na jiran hivyo alikua kaweka geti mm nikajenga kama frem nlikua nafanya biashara ya chakula nikapata eneo kubwa zaidi hivyo kupunguza gharama siwezi kulipa huku na huko na mwenye nyumba analijua hiloili mambo yasirahisishwe weka maelezo mazuri.
Mkataba unasemaje na kama wewe siyo mmiliki una nguvu gani kupangisha?
Hela yako irudi kiasi gani?