Eneo la biashara ya Cafeteria;

Eneo la biashara ya Cafeteria;

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
16,166
Reaction score
25,197
Habari wakuu.

Nilikua natafuta eneo la biashara ya Cafeteria ambayo unaweza kaanga viazi,kuuza sharubati ya miwa na sharubati ya matunda mengine.
Ila hilo eneo kama kuna uwezekano liwe na vifaa ambavyo nitakua naweza kuvikodi na kumlipa mwenye vifaa kwa wiki ama kwa mwezi.
Vifaa hivyo ni kabati la aluminium,vyombo,jiko,viti na meza.
Mashine ya sharubati ya miwa ipo.

No.0745810138.
 
Back
Top Bottom