Gazillionaire
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 235
- 59
Anaenunua lazima anunue lote? Ama anaeza kujisevia kwa kadiri ya mfuko wake?
Habari gani wakuu? Nawaletea habari njema, kuna eneo la heka 10 zilizo kwenye barabara ya Kibada Tundwi km 27 kutoka ferry linauzwa.
Eneo hilo liko tambarare na maji yako karibu. Linafaa kwa kujenga shule, Chuo chochote, Business center au ufugaji wa Mbuzi, Ng'ombe, Samaki au kilimo cha matikiti.
Bei ni sh. 3,000,000 kwa heka na mazungumzo yapo.
Madalali wanakaribishwa pia.
Mwenye kuhitaji karibu PM.
Mkuu naomba maelezo ya
ziada ya hilo eneo,kibada tundwi ndio wapi? Unapita ulipo mradi wa NSSF
na Akbar? Au ni hii njia inayoenda kutokea mbagala? Na kama ni km 27
toka feri bila shaka haufiki kimbiji?
Huko si ndo KANUnUA braza Obama?
Huyu jamaa ni tapeli.Akipigiwa simu hapokei
Ni njia ya kupitia Kibada kisha Dsm zoo halafu Mwasonga ukiwa unaelekea Tundwi ambayo iko mbele ya Mwasonga isipokuwa vilipo hivi viwanja ni kabla ya Kufika Tundwi. Kuufikia Mradi wa NSSF na Akbar kwa urahisi, unapitia Gezaulole.
Huyu
jamaa ni tapeli.Akipigiwa simu hapokei
Mkuu nadhani utakuwa na matatizo ila sitaingia sana huko. Unaweza kuweka
namba yako ya simu niangalie katika missed calls zilizoingia saa tatu
asubuhi leo kurudi mpaka jana kisha nikuthibitishe kuwa ni kweli ulipiga
lakini sikupokea.
Ardhi ni mali tuwekeze kwenye ardhi,leo wajukuu wa tom estate wanakula maisha mzee wao alinunua miaka ya 50's ekari moja worth a billion
Mkuu,
Kuna Yale ya Mwasonga ulikua unauzaga 1Mil, yaliisha? Wajua nimeuhifadhi ule Uzi wako mahali ili nkipata 1mil nije!!
dah huwezi jua labda alikuwa na tatizo mkuu kwakua ajapokea simu yako aimanishi ni tapeli. Mimi simjui anijui ila ni dalali na alinitafutia nyumba kigamboni na nikapata bila tatizo..Huyu jamaa ni tapeli.Akipigiwa simu hapokei
dah huwezi jua labda
alikuwa na tatizo mkuu kwakua ajapokea simu yako aimanishi ni tapeli.
Mimi simjui anijui ila ni dalali na alinitafutia nyumba kigamboni na
nikapata bila tatizo..
Achana na watoto mkuu, jali mambo ya msingi, ukiwafuata utakosa focus ya mambo muhimu mkuu! Huyu jamaa hakupiga coz hata missed calls zilizoingia nikiwa mbali nilizipiga ndio maana nikamwambia aweke simu hapa nimuumbue hadharani hapahapa!