Eneo la heka 10 mita 50 kutoka chuo cha S.T. Augustine Vikindu Linauzwa

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Wakuu habari za saa hizi?
Nawaletea habari njema ya kuuzwa kwa eneo lililo karibu na chuo kipya cha S.T. Augustine Vikindu.
Ukubwa wa eneo hilo ni heka 13 na kila moja inauzwa kwa sh. Milioni 10.
Matumizi yanayofaa kwa eneo hilo ni Makazi, kulima, Ujenzi wa hosteli za wanafunzi, yard ya malori, Shopping/business center.
Eneo hilo linauzwa lote na pia unaweza kukatiwa ukubwa unaoweza kuumudu kutokana na mahitaji yako.
Wenye kuhitaji, karibuni PM
 

Wakuu, eneo bado lipo
 
Ungeelezea location kusema vikindu wrngine hawajui ni wapi, mkoa etc.
 
Wewe shida yako unataja eneo lipo kari na chuo mtu akija kuangalia unampeleka maporini, unapoteza muda na kuingiza watu gharama, madalali badilikeni bhana
 
Wanaq JF ninauza plot za ukubwa wa 20X50 ktk kijiji cha Kivinja B/Mkenda - ni 9KM kutoka Jaribu mpakani. Ukilipa unatambulishwa kwa serikali ya kijiji.

Bei a plain 1.5 million.

Karibu
0787488922
 
Wewe shida yako unataja
eneo lipo kari na chuo mtu akija kuangalia unampeleka maporini,
unapoteza muda na kuingiza watu gharama, madalali badilikeni
bhana

Hayo nakubali, yalikuwa ni makosa ya mmiliki. Hili nimeconfirm na mita 50 ndivyo ilivyo, nilikuwa huko juzi na hata jana.
 
Hayo nakubali, yalikuwa ni makosa ya mmiliki. Hili nimeconfirm na mita 50 ndivyo ilivyo, nilikuwa huko juzi na hata jana.

Sasa kwa nini usiwe una confirm labla unasumbua watu, na si mara moja we mwenyewe unalijua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…