Plot4Sale Eneo la hekari 53 Bunju Kialaka pembeni ya ndoto Polepole hotel.

Plot4Sale Eneo la hekari 53 Bunju Kialaka pembeni ya ndoto Polepole hotel.

Bia batta

Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
66
Reaction score
34
Eneo la hekari 53 lenye hati, liko bunju kialaka 1.8 km toka barabara ya bagamoyo kona ya kuingilia Lord Baden powell/Efatha seminary secondary school.

Eneo lina hati ya jumla na sasa liko kwenye mchakato wa kugawanywa kwenye maeneo madogo madogo ya heka 2 au tatu na hati kugawanywa kwa kila kipande kuwa na document yake...Eneo liko limepakana na hotel ya ndoto polepole na ni mita kadhaa toka unapojengwa uwanja mpya wa simba sports club chini ya bilione Mo Dewji.

Eneo linafaa kwa matumizi ya makazi na kibiashara (ie projects kama shule, nyumba za ibada hostels, hotels, go-downs na hata kujenga campus ya university au college) bei kwa eka ni milioni 35 thou price ni negotiable...kwa maelezo zaidi contact: 0713480118.
 

Attachments

  • IMG-20160708-WA0055.JPG
    IMG-20160708-WA0055.JPG
    153 KB · Views: 121
  • IMG-20160708-WA0017.JPG
    IMG-20160708-WA0017.JPG
    65.8 KB · Views: 89
  • IMG-20160708-WA0053 (1).JPG
    IMG-20160708-WA0053 (1).JPG
    129.3 KB · Views: 139
Eka moja 35mil?labda pesa inachumwa kwenye miti.
Brother hili sio shamba ni eneo ambalo limeshaendelezwa na sababu ya kuuza kwa ekari na sio viwanja vya sqm 900 au 1000 ni kupunguza population maana kwa eneo la ekari 53 ukigawa kwa viwanja vya ukubwa huo utainvite population kubwa sana.

kingine fanya utafiti wa eneo tajwa, viwanja vya sqm 900 vinauzwa milioni 15 na kuendelea which means eka moja ukikata viwanja vya 900sqm vinatoka vitano(then piga hesabu viwanaj 900sqm mara 15m au mtu anegotiate umuuzie hata kwa 12m)....Kwa wakazi wa maeneo hayo wanaweza kunisaidia (ilipo hoteli ya ndoto polepole au uwanja mpya wa simba unapojengwa.....in short the area is very potential na kuan watu wa kanisa wameshasogea wanataka kuchukua eka 10 but still kuna mkubaliano kadha wa kadha hayajafikiwa ukiacha watu waliofika na kuliona eneo wanaotaka ekari mbili au tatu!!
 
Mh Lukuvi ametuambia tusubiri bei elekezi ya ardhi, tuone kama bei yake itafika hiyo unayoisema wewe.
 
Back
Top Bottom